Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wakulima wa mikoa mitano ya Zanzibar,wakiwa wawakilishi katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Baadhi ya Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi,wakiwa katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Mngetuhabarisha kuhusu huu mpunga zaidi. Aina hii ya NERICA ina tafauti gani na ile ya mpunga wa Mbeya au Morogoro? Kwanini umepandwa? Nani aliyepanda? Muda gani unachukua mpaka kuvunwa? Kwanini NERICA?
ReplyDelete