Afisa habari wa Bunge letu mdao Owen Mwandumbya (kati) hakuwa nyuma katika kula konoozzzz na Waheshimiwa jijini London, Uingereza, baada ya kutuletea kila hatua ya mkutano wa Commonwealth Parliamentary Association (CPA). Hapa yuko na Naibu Spika wa Bunge la Uingerza Mhe. Nigel Evance (Mb) (Mwenye tai) pamoja na Mwenyekiti Mpya wa CPA Sir Alan Heselhurst (Mb) mara baada ya kumalizika rasmi kwa mkutano wa 57 wa CPA ambao ulifanyika London Uingereza kwa kukutanisha Maspika, Maseneta na Wabunge zaidi ya 700 kutoka nchi 52 za Jumuiya ya Madola kujadili maswala mbalimbali yahusuyo uendeshaji wa Mabunge katika mabunge wanachama wa Jumuiya hiyo
Home
Unlabelled
mdau owen mwandumbya naye ala konozzzzzz london
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umetisha kaka...Endelea kutuwakilisha!!!
ReplyDeleteNice cellar behind...
ReplyDelete