Meneja wa Zantel kanda ya ziwa (Lake 2) bW. Haidar Chamshama anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi kilichotokea jana Kariakoo Dar es salaam, mazishi yatafanyika leo saa 7 mchana katika makaburi ya Kisutu. Maiti itaswaliwa katika msikiti wa Shadhili baada ya swala ya Adhuhur. Taarifa iwafikie watu wote.
Home
Unlabelled
MENEJA WA ZANTEL KANDA YA ZIWA AFIWA NA MAMA YAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Poleni sana Hydar.
ReplyDeleteMdau Znz