Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    DC hakutakalika,miaka 50 ya uhuru na DICOTA kwa siku nne.Wana Njenje ndani ya nyumba,Mzee Yusuph yumo ? dinner gala.Kiingilio bei gani ? Kutakuwa na soka ? Itabidi nichukue off kwa siku kadhaa.

    Mdau wa Arizona.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2011

    Pretty good, she is very articulate.
    Looks she does her job well.

    Thanks Muheshimiwa Balozi.

    Mdau,
    US of A.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2011

    Huyu Balozi ,aajar ni mchapa kazi. Ana keep momentum. Amemaliza kuleta wageni hapa Tanzania karibuni tu sasa anachangamkia sherehe za uhuru wa Tanzania Bara kwa kuwahamasisha Watanzania washiriki kikamilifu,ni jambo jema saana. Nataraji mabalozi wengine munahitaji kuiga mfano wa huyu Mhe. Pia nona ofisa wake Saleh Suleiman ambaye ametokea sekta binafsi pia nakumbuka hivyo wanakwenda sambamba vizuri sana kazeni buti tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2011

    Sasa mama yetu ni lini unarudi UK ?MH kikwete amekupeleka kuwaonyesha wengine jinsi kazi inavyofanywa end then makao yako makuu ni London mama fanya hima urudi tumekumiss sana.ukakata tunakufuata huko huko.

    ReplyDelete
  5. kiingilio ni dola 99 kabla ya mwisho wa mwezi wa August, and then baada ya hapo itakuwa dola 190.....i think this is a little bit too much. Utalipiaje kwenda sherehekea sherehe ya muungano wetu? mbona mikutano mingi tu hata isiyo na maana inafanywa na kulipiwa na serikali huko nyumbani (TZ)?....i think $190 is not fair, especially ukizingatia kuwa wengine tunataka kwenda kuhudhuria sherehe za muungano na kumuona raisi wetu. NI MAONI YANGU TU

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2011

    Hongera mama kwa kuwajibika,lakini sisi wadanganyika tushazoea kudhulumiwa,kunyanyaswa,kunyimwa haki zetu nk kupitia viongozi wetu,viongozi waliojaa ubinafsi.
    Ikijitokeza kiongozi anawajibika basi inakuwa ni kama favour,big favour tunafanyiwa,tunasahau kuwa ni wajibu wao wa kila siku kulijenga taifa kwa moyo na upendo.
    Naomba kwa mfano huu, vingozi wote ikiwa wabunge,mawaziri,mabalozi nk tuwajibike kama mama Maajar.
    Imefikia mama Maajar anachangisha MADAWATI ya kusomea at this time.
    Miaka mingapi ya uhuru imepita,huu ni wakati wa sayansi na teknologia na sio wakati wa kuondoa mawe madarasani na kuweka madawati ya mbao na misumari.Shame on us!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2011

    Huo woye ni upuuzi mtupu, kwani miaka 50 ya uhuru wakati maisha ya mtanzania yanazidi kudidimia,hakuna umeme, maji ni shida, chakula ni shida, hakuna elimu bora, huduma za afya ni duni, miundombinu ni tatizo, sasa utu wa mtanzania upo wapi? sioni thamani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania hata kidogo ukizingatia kuwa sasa utawala unaoongoza nchi ni mbovu kuliko maelezo, hari ya maisha ni mbaya sana kwa watanzania walio wengi.
    Mtanzania mzalendo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...