Home
Unlabelled
Mh Balozi Maajar aongea na vijimambo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DC hakutakalika,miaka 50 ya uhuru na DICOTA kwa siku nne.Wana Njenje ndani ya nyumba,Mzee Yusuph yumo ? dinner gala.Kiingilio bei gani ? Kutakuwa na soka ? Itabidi nichukue off kwa siku kadhaa.
ReplyDeleteMdau wa Arizona.
Pretty good, she is very articulate.
ReplyDeleteLooks she does her job well.
Thanks Muheshimiwa Balozi.
Mdau,
US of A.
Huyu Balozi ,aajar ni mchapa kazi. Ana keep momentum. Amemaliza kuleta wageni hapa Tanzania karibuni tu sasa anachangamkia sherehe za uhuru wa Tanzania Bara kwa kuwahamasisha Watanzania washiriki kikamilifu,ni jambo jema saana. Nataraji mabalozi wengine munahitaji kuiga mfano wa huyu Mhe. Pia nona ofisa wake Saleh Suleiman ambaye ametokea sekta binafsi pia nakumbuka hivyo wanakwenda sambamba vizuri sana kazeni buti tu.
ReplyDeleteSasa mama yetu ni lini unarudi UK ?MH kikwete amekupeleka kuwaonyesha wengine jinsi kazi inavyofanywa end then makao yako makuu ni London mama fanya hima urudi tumekumiss sana.ukakata tunakufuata huko huko.
ReplyDeletekiingilio ni dola 99 kabla ya mwisho wa mwezi wa August, and then baada ya hapo itakuwa dola 190.....i think this is a little bit too much. Utalipiaje kwenda sherehekea sherehe ya muungano wetu? mbona mikutano mingi tu hata isiyo na maana inafanywa na kulipiwa na serikali huko nyumbani (TZ)?....i think $190 is not fair, especially ukizingatia kuwa wengine tunataka kwenda kuhudhuria sherehe za muungano na kumuona raisi wetu. NI MAONI YANGU TU
ReplyDeleteHongera mama kwa kuwajibika,lakini sisi wadanganyika tushazoea kudhulumiwa,kunyanyaswa,kunyimwa haki zetu nk kupitia viongozi wetu,viongozi waliojaa ubinafsi.
ReplyDeleteIkijitokeza kiongozi anawajibika basi inakuwa ni kama favour,big favour tunafanyiwa,tunasahau kuwa ni wajibu wao wa kila siku kulijenga taifa kwa moyo na upendo.
Naomba kwa mfano huu, vingozi wote ikiwa wabunge,mawaziri,mabalozi nk tuwajibike kama mama Maajar.
Imefikia mama Maajar anachangisha MADAWATI ya kusomea at this time.
Miaka mingapi ya uhuru imepita,huu ni wakati wa sayansi na teknologia na sio wakati wa kuondoa mawe madarasani na kuweka madawati ya mbao na misumari.Shame on us!
Huo woye ni upuuzi mtupu, kwani miaka 50 ya uhuru wakati maisha ya mtanzania yanazidi kudidimia,hakuna umeme, maji ni shida, chakula ni shida, hakuna elimu bora, huduma za afya ni duni, miundombinu ni tatizo, sasa utu wa mtanzania upo wapi? sioni thamani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania hata kidogo ukizingatia kuwa sasa utawala unaoongoza nchi ni mbovu kuliko maelezo, hari ya maisha ni mbaya sana kwa watanzania walio wengi.
ReplyDeleteMtanzania mzalendo.