Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Sethi Kamuhanda (kulia) akimuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Vijana, Bi. Joyce Shaidi (katikati) ambaye amestaafu Utumishi wa Umma, leo jijini Dar es Salaam. Bi. Shaidi aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vijana mwaka 1999 na kuendelea na wadhifa huo hadi Julai, 2011 na ni Mkurugenzi wa kwanza mwanamke kutumikia Idara hii kwa muda wa miaka 12. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akimuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Vijana, Bi.Joyce Shaidi ambaye amestaafu Utumishi wa Umma, leo jijini Dar es Salaam. Bi. Shaidi aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vijana mwaka 1999 na kuendelea na wadhifa huo hadi Julai, 2011 na ni Mkurugenzi wa kwanza mwanamke kutumikia Idara hii kwa muda wa miaka 12.
Picha na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...