Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Hamisi Juma, akichanja mbuga kuelekea goli la wapinzani wao, wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars, liofanyika uwanja wa Karume, Dar es Salaam, jana. Jitegemee walishinda 1-0
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Ally Shaaban akiwatoka walinzi wa Alphonce Mathias (kulia) na Shukuru Mbaraka , wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars, uliofanyika uwanja wa Karume, Dar es Salaam

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Amos Juma akizuiwa na kipa wa Jitegemee, wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Amos Juma (kushoto), akikabiliana na beki wa Jitegemee, Alphonce Mathias wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...