Katibu Mkuu wa  wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akizungumza na Mkuu wa Majeshiwa Jeshi la Uganda Genelali Aronda Nyakairima aliyemtembelea wizarani jana. (picha na ASSAH MWAMBENE wa Mambo ya Nje.
Katibu Mkuu wa  wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akizungumza  na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Paul Rupia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2011

    Ankal nakushukuru kwa kutuhabarisha kwa habari mbalimbali, ila katika habari picha mara nyingi siku hizi huonyeshi yupi ni yupi, usichukulie kwamba wote tunawafahamu!! Ahsante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...