Mkurugenzi wa Biashara Precision Air Bw. Phil Mwakitawa (Kulia) akimzawadia mshindi wa tiketi (kwenda na kurudi) ya Hahaya, Comoro Bi. Frida Bishota baada ya droo maalum iliyochezeshwa Mlimani City jumamosi (jana).
Mkurugenzi wa Biashara Precision Air Bw. Phil Mwakitawa (Kulia) akimzawadia mshindi wa tiketi (kwenda na kurudi) ya Johannesburg, S.A., Bw. Paritosh Bablah baada ya droo maalum ilichezeshwa Mlimani City jumamosi (jana).
Baadhi ya washindi sita wa tiketi za Precision Air kwenda Hahaya na Johannesburg, Bi. Frida Bishota na Bw. Paritosh Bablah wakionyesha tiketi zao katika droo maalum iliyochezeshwa  Mlimani City jumamosi (jana). Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara Precision Air Bw. Phil Mwakitawa na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Precision Air Bi. Elizabeth Mungwe.
Maofisa wa Idara ya Masoko na Mauzo Precision Air wakimtaarifu kwa simu mmoja wa washindi wa promosheni ya kwenda Hahaya, Comoro na Johannesburg, S.A.
Ofisa Masoko na Mauzo wa Precision Air Bi. Yvonne Baldwin akitangaza jina la mmoja ya washindi wa droo maalum za tiketi kwenda Hahaya, Comoro na Johannseburg S.A., iliyofanyika Mlimani City jumamosi (jana). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano Precision Air, Bi. Elizabeth Mungwe na Mkurugenzi wa Mtandao na Mipango Precision Air Bw. Patrick Ndekana. Picha zote na Amani Nkurlu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...