Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akipokea hundi ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa jana(leo) jijini Dar es salaam  kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya  Benki ya NMB Misheck Ngatunga(kulia).
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana(leo) jijini Dar es salaam mara ya kupokea hundi ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya  Benki ya NMB Misheck Ngatunga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    Hodi hodi humu ndani mzee michuzi upo? ok poa kwaheri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...