Maelefu ya washabiki mjini Frankfurt wanatarajiwa kuvaana uso kwa uso,jino kwa jino na bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya"Ngoma Africa band" katika onyesho kubwa la kimataifa la "Africa &Carebbean Festival,litakalo fanyika katika viwanja vya Robestock Park,mjini Frankfurt,Ujerumani siku ya Jumamosi 6.08.2011,ambako kamanda Ras Makunjawa FFU ataongoza kikosi chake jukwaani,bendi hiyo yenye utajili wa washabiki na wanamzikiwenye vipaji miongoni mwao akiwemo mpiga solo gitaa Chris-B. Ngoma Africa band hivi sasa wanatamba na nyimbo yao mpya ambayo ni zawadi ya miaka 50 uhuru,nyimbo hiyo "Bongo Tambarare" inasikika katika kambi ya FFU
at www.ngoma-africa.com
au http://www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    wachizani wetu ffu,hakuna kupumzika mpaka kieleweke..
    supu ya mawe kwa wingi,ligwaride bila mdhaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2011

    hiiiiiiii! kikamanda ketu ras makunja na kikosi ffu aka ngoma afrika aka watoto wa mmmbwwwwwa kila anayepita mbele mna´mbwakia wuh wuh wuh kazi yenu nzuri tunaikubali japokuwa watoto wa mbwa hawabebeki ktk pakacha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...