Mmojawapo ya wataalamu wa Afya wanaofanya kazi za kupima na kutoa ushauri wa kitaalamu wa kiafya pamoja na kutibu magonjwa mbalimbali Dr. Daudi akiwa kazini katika moja ya Kambi za matibabu ya bure yalioandaliwa na shirika la AMA kanda ya kaskazini.
Wananchi toka maeneo mbalimbali wakiwa wamejipanga mstari tayari kwa kupatiwa huduma za afya katika moja ya kambi ya matibabu ya Bure zilizoandaliwa na shirika la Africa Muslim Agency (AMA) kanda ya Kaskazini, katika kijiji cha new land, wilayani Moshi vijijini,mkoani Kilimanjaro.
Mowajawapo ya shughuli za uchimbaji visima virefu vya maji kwa matumizi mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo la AMA mkoani Kilimanjaro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...