Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Mh. Mohammed Aboud  akitowa hotuba ya Ufufunguzi wa Tamasha la 17 la Mzanzibar lililofanyika katika Ufukwe wa Pwani ya Nungwi.
Warizi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Mh. Mohammed Aboud Mohammed akizinduwa Tamasha hilo la 17 la Mzanzibar kwa kupiga  bastola kuashiria kuazisha resi za ngalawa.
Wasanii wa Oman wakifuatilia maonesho ya tamasha la Mzanzibar, nao walialikwa kuonesha ngoma za Utamaduni wa kwao.
Waimbaji wa Kikundi cha Taarab cha Visiwani Zanzibar wakiimba wimbo maalum wa Uzinduzi wa Tamasha hilo.Picha na Mdau Othman Maulid Othman-Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2011

    wazenji tupo na tunang'ara na tuna mvuto tumenawili hatujui shida tunajipenda na kupendana je mmetuonaaaaaa???????

    Ankali na wenzio je mmetuonaaaaaa?

    hatutaki vumbi lenu la wadanganyika tupeni nafasi tupate upepo mwanana sio mnatuganda tu utasema luba hehehe haloooooo nicheke mieee kwa raha zetu wazanzibar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...