Timu ya Taifa ya wanawake, Twiga stars, imeendelea kutesa huko Harare kwenye kombe la COSAFA. Wameshinda mechi zao 2 za awali dhidi ya Botswana na Zambia na wanasubiri mchezo wa kukamilisha ratiba dhidi ya Banyanabanyana.  Mechi ya pili ya Twiga ilichezwa jana dhidi ya Zambia na mabao ya Tanzania yalifungwa na Asha Sada katika dk za 22 na 44.

RESULTS
Group A
02/07 Malawi 1-1 Mozambique
02/07 Zimbabwe 4-0 Lesotho
03/07 Lesotho 3-2 Mozambique
04/07 Malawi vs Zimbabwe
05/07 Malawi vs Lesotho
05/07 Zimbabwe vs Mozambique

Country P W D L GF GA Pts 
Zimbabwe 1 1 0 0 4 0 3
Lesotho 2 1 0 1 3 6 3
Malawi 1 0 1 0 1 1 1
Mozambique 2 0 1 1 3 4 1


Group B 
02/07 South Africa 4-1 Zambia
02/07 Tanzania 3-1 Botswana
03/07 South Africa 4-0 Botswana
03/07 Tanzania 2-0 Zambia
05/07 South Africa vs Tanzania
05/07 Zambia vs Botswana

Country P W D L GF GA Pts
South Africa 2 2 0 0 8 1 6
Tanzania 2 2 0 0 5 1 6
Zambia 2 0 0 1 1 6 0
Botswana 2 0 0 2 1 7 0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2011

    Hawa kina dada mie nawakubali sana wanajituma,wanabidii na wanajua nini wanachokifanya kuliko timu ya taifa stazz kazi majisifu tu .Mie nashangazwa sana na hawa wadhamini kuku anaetaga ndio anadharauliwa wakati aliekua hana mayai wala chochotea ndo anatunzwa hii akili au matope.
    Big up twiga stars nyie ndio mtakao ipa jina tanzania japo kua mnamazingira magumu.Endeleeeni kukamua.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2011

    wow wow girls. big uuuuuuuuuuup. tupo nyuma yenu. endeleen kufanya kweli. i love u all...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...