Hali ya Utandawazi yazidi kushika kasi hapa nchini siku hadi siku,leo hii katika pita pita za mdau alikutana na Watoto hawa wa Mitaani wakiwa na simu ya mkononi huku wakielekezana namna ya kutumia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dennis B.July 09, 2011

    Information age in the making... What a nice photo that speaks volumes!

    Thanks for sharing brother Michuzi.

    Dennis B.

    Buckinghamshire

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2011

    www.bbc.co.uk/cbeebies
    Sioni ajabu hata kidogo. Watoto wadogo sana waweza kutumia kompyta bila wasiwasi. Kwanza nafikiri hawaiogopi kama sisi na pili it simply comes natural to them.I have seen very young children 4-5 year-old playing games on CBEEBIES. They are the future and computer is the future

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...