kamanda wa MAGEUZI akila pozi baada ya kula nondo yake
Salam,
Urban Pulse inapenda kumpongeza mdau mwenzetu na kamanda wa MAGEUZI kutoka katika mji wa kusoma hapa mjini ukerewe kwa kuhitimu shahada ya UHANDISI ( ENGINEERING) kutoka katika chuo kikuu cha READING UNIVERSITY, UK Mapema wiki hii.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Mdau Magabe na mai waifu wake 2 b,Bridget.
Mdau Magabe akila pozi na wadau wengine kutoka kitivo cha uhandisi( System Engineering) .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...