Waziri wa uchukuzi Mheshimiwa Omary Nundu (wa pili shoto) jumamos hii ya tarehe 23/07/2011 amezindua bodi mpya ya ushauri ya Mamlaka ya viwanja vya Ndege Tanzania, Tanzania airports Authority (TAA) Advisory Borad  katika hotel ya Kempinsky jijini Dar es Salaam. wajumbe wanaounda bodi hiyo ni Eng Lambart ndiwaita ambae ni Mwenyekiti, Prof. Lucian Msambichaka, kapt. Mohamed mhita, Kapt Kenan makinda, Eng. Edward Mujahuzi, Bi Jane Lyimo na ndugu Muhtazar Aloo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    Na alovaa tai nyekundu ni Acting Director General Mr. Suleiman

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...