Baadhi ya wadau wa Vodacom na waalikwa katika tafrija hiyo usiku wa kuiamkia leo katika ukumbi wa Club Sun Cirro, Sinza, Dar es salaam. Vodacom iliandaa tafrija hiyo kuwakutanisha warembo wataoshiriki katika fainali za Miss Temeke, Ilala na Kinondoni zikiwa siku chache tu kabla ya michuano hiyo itayofanyika katika kila wilaya hizo tatu kwa tarehe tofauti. Vodcom ndio wadhamini wakuu
 Baadhi ya warembo toka kambi mbali mbali wakila pozi
 warembo wakicheza kwaito kwa pamoja
 warembo wakila stori na kujichanganya
Warembo wakifurahia tafrija hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante kaka.

    Tumeziona. Nyingi NYEUPE.

    Asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...