Sehemu ya wakaazi wa Mbeya na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja tamasha la  Fiesta 2011.
Kina Ras Makunja wakijipanga vyema kwa ajili ya ulinzi na usalama wa watu watakaokuwa wamefika kwenye tamasha la serengeti fiesta 2011 linalofanyika mchana huu kwenye uwanja wa Sokoine. Chini ni sehemu ya umati huo. Picha na Michuzi jr





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2011

    mbeya kulivyolivyo kama kijijini, mji kupata hadhi ya jiji unatakiwa uweje naomba tufahamishane au labda tanzania tuna viwango vyetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...