Makamu mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro(MECK)Rodrick Makundi akifanya utambulisho wakati wa kongamano la wanahabari kuhusu zao la kahawa lilifanyika katika ukumbi
wa Umoja hostel mjini Moshi leo.
Washiriki wa kongamano.
Mkuu wa wilaya ya Moshi Musa Samizi,akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la wanahabari kuhusu zao la kahawa.
Wadau wako live kurusha matukio yaliyokuwa yakiendelea ukumbini hapo
Washiriki wa kongamano.
Mwandishi mkongwe kutoka mkoani Arusha,Zephania Ubwani akiwakilisha klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha katika kongamano hilo. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kilimanjaro.
Kupata hotuba ya Mkuu wa Wilaya BOFYA HAPA
Kupata hotuba ya Mwenyekiti wa MECKI BOFYA HAPA
wa Umoja hostel mjini Moshi leo.
Washiriki wa kongamano.
Meza Kuu wakisimama kumkumbuka marehemu Danny Mwakiteleko, Naibu Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation, aliyefariki dunia leo
Washiriki wa kongamano wanasimama kwa muda wa dakika moja kumkumbuka Naibu Mhariri Mtendaji wa gazeti la MTANZANIA hayati Danny Mwakitereko muda mfupi baada ya kupata taarifa ya kifo chake.Mkuu wa wilaya ya Moshi Musa Samizi,akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la wanahabari kuhusu zao la kahawa.
Wadau wako live kurusha matukio yaliyokuwa yakiendelea ukumbini hapo
Washiriki wa kongamano.
Mwandishi mkongwe kutoka mkoani Arusha,Zephania Ubwani akiwakilisha klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha katika kongamano hilo. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kilimanjaro.
Kupata hotuba ya Mkuu wa Wilaya BOFYA HAPA
Kupata hotuba ya Mwenyekiti wa MECKI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...