Mchomaji kitoeo maarufu sana hapa New York, Ally Mbarakah, kutoka Vikokotoni Zanzibar akiwa kazini
wanajumuya ya Watanzania waishio jijini New york na vitongoji vyake waliokutana Willson Woods Park, Mt Vernon wikkiendi hii na ku-enjoy summer pamoja kwa nyama choma na vilaji
Katibu wa jumuyia hiyo Bw. Shaban Mseba akiwashukuru wanajumuiya kwa kujitokeza kwa wingi na ku-enjoy summer pamoja. Picha kwa hisani ya Ebra Ny wa New York City.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...