Kassim Rajab  Mwinyijuma akipozi na familia yake baada ya kulamba nondozzz ya BA in Business & Financial Services katika chuo kikuu cha Northampton University, UK
Mdau Kassim Rajab  Mwinyijuma akiwa na tutor wake baada ya kulamba nondozzz hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2011

    Ahh dada Mwamshindo umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....hongera ustadh kassim kwa kula Nondozzzz dah Bi Amina nakupa Assalam alaykum mashaallah mmependeza mbayaaaaaaaaaaaaaaa.
    Mdau wa Habibbank.
    HS.

    ReplyDelete
  2. Binti MwinyiJuly 25, 2011

    Shallah Shallah mmependeza Mungu akuzidishie next iwe Harvard Inshallah... wish ningekuwepo hapo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2011

    Kaka Hashim thnks, Mwinyi wa Kunduchi hongera sana sisi wanafamilia tunakuombea mafanikio mema katika maisha yako , Mdau Bint Mwinyi wa Kunduchi Pwani, UK mapumzikoni

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2011

    Binti Mwinyi wa Kunduchi Pwani... ni mimi yule yule mdogo wako QQ!! nampa hongera sana mdau Kassim kwa kula nondoz!!! hii inanikumbusha 2008 na mimi nilivyokwea pipa kwenda kukamata nondo yangu....naomba mkae salama, salam kwa wote..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...