wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kwa jina la wamachinga wakiwa wamepanga bidhaa zao kandokando ya eneo la makutano ya barabara ya samwel Ruangisha na ya Kashai, wamachinga hao walifapigwa marufuku kufanya biashara katika eneo hilo lakini wimbi la wamachinga limekuwa likiongezeka kila siku.
wamachinga wakiwa wamepanga viatu mbele ya msikiti wa ijumaa uliko katika manispaa ya Bukoba kwa ajili ya kuviuza, wamachinga hao muda mrefu wamekuwa wakiaidi amri iliyotolewa na uongozi wa manispaa ya kuwataka wasifanye biashara katika eneo hilo.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba
Bwana "ODAX"Bitahi Kyoma?Asante kwa picha..nilikuwepo hapo mjini mwezi wa 6..mbona watu wamekuwa wengi hivyo mjini? halafu wote wanaongea Kihaya!Hao "wamachinga" walitengewa eneo jingine la kufanyia biashara zao au walipigwa marufuku tu.
ReplyDeleteDavid V