Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka,

    Hivi kwani hakunaga Wakufunzi wa KIKE wenzao jamani? Kila siku wakufunzi midume tu!

    Halafu Kaka mbona umetunyima uhondo wakati ndo kwanza ulikuwa unaanza we ndo umekatisha KLIP.
    Hapo ndo alikuwa anaingia mmoja mmoja kuonyesha kila mmoja kalufundi kake bingili bingili mpaka chini we ndo umekata klip!

    Ila huyo wa mbelembele mwenye kikaptula cheusi na kitishet chekundu kanidatisha!

    Kaka haya mazoezi yao huwa yanaanzaga saa ngapi mpaka ngapi nami nihudhurie nikitoka kazini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2011

    owwwwwi jamani jamani hayo ni mambo yaani huyu Choreographer hapa kanimaliza. Yaani nimecheka mpaka wenzangu hapa ofisini wamedhani nimeingiwa na kichaa!! masikini mbavu zangu mieeee!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2011

    Choreographer ana kitambi sijawahi ona hiyo, dance movement ni zero.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2011

    we maprosoo unataka kuanza kuharibu mabinti wetu ee? naona umekazania kupewa info na kaka michuzi. halafu usikute una mke tayari lakini ndo wakwanza kuulizia muda wa mazoezi. kaka michuzi chonde chonde na hii mikware.usitoe details zozote za haya mazoezi manake naona watu washakaa mkao wa kufukuzia wasichana wadogo..shame on you maprosoo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2011

    Im sorry jamani yaani nimecheka kidogo nijikojolee, OMG vitu vingine ni aibu tupu, yaani huyo Choreographer ni vituko tu, moves anazofanya yeye haziendeani kabisa na wanazofanya hao mamiss, kitambi kule, afya matata, halafu ukiwaangalia hao mamiss wenyewe ka wanacheza mdundiko, samahanini lakini kwa style hii hatufiki popote, this is a Joke.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2011

    Jamaani hii ilikuwa ni warm up tu. Hawawezi kutoa style zao zile kali hapa zisije zikaibiwa na Miss Mahali Pengine. Ukitaka mambo yoote njoo kwenye Miss Redds show yenyewe.
    Kuhusu kitambi cha choreographer bwana, don't judge the book from its cover.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...