Makamo wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Iddi akiangalia kazi za mikono na utengezaji wa fimbo kutoka Oman katika Jumba la Ajabu la Beit el Jaib, Unguja.
Waziri wa utamaduni wa Oman akitoa hotuba katika ufunguzi wa wa maoneysho ya tamasha la utamaduni wa Oman. |
Mtalii akipata maelezo ya kutoka wa mcheza ngoma za kiutamaduni kutoka taifa la Oman.
hivi ndio wanarudi nin waarabu kidogo dogo kama CCM walivosema akipata CUF WAARABU WATATAWALA?
ReplyDelete