Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Mbunge wa Ilala Azan Zungu kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Dr. Grand Sapara, Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na Ujumbi kutoka Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai 14,2011. Kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...