Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka inayosimamia Mifuko ya Maendeleo ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Lightness Mauki kwenye ukumbi wa mikutano ya Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2011

    Michuzi mmmmmh...No comment!

    David V.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...