Beki wa Yanga, Shadrack Nsajigwa akichuana na beki wa Bunamwaya ya Uganda,Kimuli Robert katika mchezo wa mashindano ya Kagame-Castle cup uliochezwa jioni ya leo ndani ya uwanja wa taifa jijini Dar.Yanga imeshinda bao 3-2.
Hamis Kiiza akimtoka beki wa timu ya Bunamwaya ya Uganda, Kimuli Robert wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame Uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akimiliki mpira mbele ya beki wa Bunamwaya ya Uganda, Kavuma Habib.
Shadrack Nsajigwa wa Yanga akiruka daluga la Beki wa Bunamwaya katika mchezo uliopigwa jioni ya leo uwanja wa taifa wa jijini dar.
Nyanda wa Bunamwaya akionyesha umahiri wake wa kumatata mipira.
Yanga wakishangilia moja ya magoli yao.
Mashabiki wa Yanga.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2011

    eeeeeeeeeeeeeh!!! yanga kama barca, jezi zinafanana na za wamsimbazi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2011

    HONGERA SANA YANGA INGAWA MABADILIKO ALIYOFANYA KOCHA HAYAKUWA NA MAANA NA WENGINGE TULIANZA KUAMINI KAYAFANYA KUWABEBA NDUGUZAKE WAGANDA!
    YANGA OYEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...