Wadau,
Hili ni balaa la punguzo ya bei ya mafuta. Hizi picha ni za jana usiku na leo asubuhi. Wadau toka lini ikawezekana kushusha bei in one day regardless ya gharama ambazo umeshazilipia? Ingawa kupandisha aaaah, is always possible. Even masaa machache tu baada ya tangazo. Is this to say kwamba kuna watu wako juu ya sheria?
Mdau
Hivyo vituo vyenye kugoma basi tunaiomba serikali iwafutie leseni zao za biashara na wasilusiwe kumiliki leseni yoyote tena Tanzania,kama faida walishapata na sasa inatakiwa walipe huduma rahisi kwa jamii,wengi wenye kufanya mgomo ni raia wa nje wenye kumiliki biashara Tz(waarabu,wahindi,nk)hapo ndio tutajua serikali ina nguvu au mdebwedo?
ReplyDeleteNI KWELI KABISA. WANAOGOMA KUPUNGUZA BEI YA PETROLI WAFUTIWE LESENI ZAO ZA KUUZA PETROLI HALAFU PETROL STATION ZAO ZIBOMOLEWE NA MATINGATINGA. KISHA WAPEWE WATU WATAKAOKUBALI KUPUNGUZA BEI. MUDA WA KUBEMBELEZANA SASA UMEKWISHA. SERIKALI TUNAKUOMBENI MTUFANYIE KAZI HIYO. MSIMBEMBELEZE MTU.
ReplyDeletehamna akili na wala hamjui economic equilibrium on fuel prices in Tz! nani atafanya kazi ya kanisa? serikali ipunguze makodi ya ajabu ya mafuta kwanza then ndo wamiliki wapunguze bei.
ReplyDelete