Ankal akiwa katika jumba lake la kuazima kwa jirani akipozi na Mbunge wa Kondoa Kusini ambaye ni kocha mtangazaji mstaafu Mh. Juma Nkhamia ( wa pili shoto), Mbunge wa viti maalumu Mh Vicky Kamata (kushoto kwa Mh Nkhamia na nduguze Mh Kamata leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kumbe ankal ukiwa bungeni unavaa suti hongera

    ReplyDelete
  2. Vicky Kamata umeumbika na unapendeza, hivi kwa nini hukuwahi kugombania U-miss? Bila shaka ungetwaa taji, waooooo!

    ReplyDelete
  3. Ankal, Vp Mbona Kamjamaa Mwenye Pink Shirt ameku overtake Kwa Kooonoooz, Ulijisahau Nini ?. Maana twajua kuwa wewe ndo Mzee wa Konoooz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...