Home
Unlabelled
ankal uso kwa uso na sugu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh!
ReplyDeleteKaka Misupu hilo lisuti mbona kama limekuvaa badala ya wewe kuivaa?
Khaah!
We Michuzi mbona suti zinakuvaa?
ReplyDeleteAnkal naona wewe si mtu wa suti bora uwe unavaa kale ka the fulanazaa na jeans. suti hupendezi kabisa, au kwa vile ni oversize may be kama ungevaa size yako ungependeza kidogo
ReplyDeleteMichuzi, naona hiyo suti ya kuazima. Uliazima ya kuendea mjengoni?? Vaa t-shirt zako kama kawaida. Hilo koti na suaruali hazijakukaa kabisaaaaaaaa!!!!!!!!
ReplyDeleteNami nilitaka kuuliza, hii kuvaa masuti makubwa makubwa ni TZ style? Hatab iyo ya Mr Sugu sio size yake.
ReplyDeleteYaani hiyo inaitwa 'mwanangu akua', yaani hata baada ya miaka miwili mitatu hivi bado inafaa.
ReplyDeletePengine ni suti ya gharama kubwa sasa ni vyema iwe kubwa kidogo ili usije kuigawa na kaka mdogo akafaidi. Ha ha haaaaa!
hahaha naona wazalendo munauwa sana,suti zimetulia hizo kama kwenye henga vile,michuzi usinunue suti za dukani nyengine hazina vipimo,au za mtumbani hizo ?
ReplyDeletemmh ancle si juzi mama alikuita us kushop so hayo ndo mapigo kweli.si lazima mpaka uwe na suti ndo utinge mjengoni.vua kwani ze nanihiii umefua?
ReplyDeleteWadau inatosha, Michuzi keshaelewa kuwa wadau wamezoea kumwona na ze fulanazi. Na wewe kaka michuzi sasa chukua hatua za haraka kuirejea ze fulanazi au ulishaipiga mnada manake nasikia kuna mdau alifika dau mpaka mil. 10 ili kuipata ze fulanazi.
ReplyDelete