Wadau wa mfuko wa akiba ya wafanyakazi wa serikalini (GEPF) wakiwa bungeni Dodoma wakinadi skimu zao mbili, moja ikiwa uchangiaji wa lazima ambapo mwajiri wa serikali kuu anahakikisha mfanyakazi katika masharti y mkataba na masharti ya kawaida huchangia kwa mujibu wa sheria. Skimu ingine ni ya hiari iliyoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa kinga ya hifadhi ya jamii kwa makundi yote ya ajira rasmi na isiyo rasmi ikiwa na maana hata machinga na waliojiajiri wenyewe. Picha toka kulia ni Violet Nyakunga, Anselm Peter, James Mlowe na Swinford Mdellah. Video ya maelezo ya GEPF inaandaliwa kaa chonjo. Kwa habari zao zaidi tembelea www.gepf.or.tz
Home
Unlabelled
mfuko wa akiba ya wafanyakazi serikalini watangaza mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ya uzeeni bungeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...