Benki ya CRDB imemteua Bi Esther Kileo Kitoka kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji katika masuala ya huduma (Shared services). Kabla ya uteuzi huo Bi. Esther Kitoka alikuwa Mkurugenzi wa idara ya Hatari za Hasara (Risk Department). Pichani juu na chini anaonekana Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bi Esther Kileo Kitoka (wa tatu juu na wa nne chini kutoka kulia, mwenye blauzi ya bluu) akiwa na baadhi ya Wafanyakazi wa Benki hiyo katika hafla fupi ya kumpongeza ofisini kwake jijini Dar es salaam leo
Home
Unlabelled
BENKI YA CRDB YAPATA NAIBU MKURUGENZI MPYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera dada Easter wembe ule ule
ReplyDeletekatika mtihani wa kumaliza kidato cha 6 esther kileo alikuwa kati wa wanafunzi watatu bora kitaifa ktk somo la Hisabati!!!
ReplyDeletePlease please please Esther naomba ushughulikie mafunzo kwa CS agents na Receptionists wako kuhusu 'NI WAPI KADI YA ATM YA CRDB YA MTEJA WAKO ILIYOMEZWA NA ATM AMBAYO SI YA CDRB - yaani ATM ya Bank nyengine' Itapatikana/au kutorudishwa tena kwa mteja mpaka aombe nyengine. Kwani nimegundua ni suala ambalo hakuna mwenye 'clue' katika bank yako.Wateja wengi wamekuwa wakisumbuka mno na nili-address tatizo hilo kwa management ila sijuhi kama limefanyiwa kazi.
ReplyDeletepia katika kusomea CPA na B.com Chuo Kikuu Bi Esther Kitoka alibeba zawadi mbali mbali.
ReplyDeleteNamuona mwanangu Flora kushoto hapo... you make us very proud. Soon nawe utapanda cheo cha juu. Mungu yuko.
ReplyDeleteHongera sana Aunt,,
ReplyDelete