Kijana akimimina oil chakavu kwenye kidumu ikiwa ni kipimo cha lita moja ili kumuuzia mteja wake ambaye haikufahamika mara moja shughuli inayokwenda kufanyiwa,maeneo ya Kigogo,jijini Dar es Salaam.Vijana wengi kama huyu wamekuwa wakijihusisha na biashara hii ambapo utawakuwa wanazungukia kwenye vituo vya kutengenezea magari na kuomba kupewa oil hiyo chakavu.
Home
Unlabelled
biashara ya oil chakavu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...