Gari dogo likiwa mtaroni karibu na ukuta wa nyumbya ya Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maeneo ya mikocheni jijini Dar es salaam. Mashuhuda wanasema gari hii ililazimika kuacha barabara baada ya kuchomekewa na daladala lililokuwa kwenye mwendo wa kasi. Abiria wake walitoka hai wakiwa na majeraha madogo
Daladala lililosemekana kusababisha ajali hii
Eneo la tukio
Wadau wakiwa eneo la ajali. Picha zote na mdau Sujit Bhojak

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...