Home
Unlabelled
Come to Tanzania before the tourists...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana! Asante kwa kutuonyesha Bro!
ReplyDeleteTatizo ukienda mbugani wala huwaoni wanyama kivile, hasa simba. Ziara ya mbugani haikamiliki bila kuwaona simba, ila ukienda mbuga zetu kuwaona ni shida kweli kweli. Nimeenda mbuga mbali mbali nchini ila nimewahi huwaona simba kwenye mbuga mbili tu, mikumi na manyara. Nawashauri tanapa mumvishe kiongozi wa kikundi (pride head) remote sensor ili iwe anajulikana alipo wakati wote. Na kwa vile yeye ni kiongozi, akipatikana basi na wengine wote wameonekana. Sio mtu unafunga safari na kuingia gharama tele halafu game guides kila wakati wanaulizana sharubu yuko wapi, haijulikani. Mambo yaende kisasa, tumieni technology kufanikisha ndoto za watalii.
ReplyDelete