Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band  aka FFU ughaibuni (pichani) watapiga kwata katika gwaride la wazi mjini Aschweiler, nchini Ujerumani siku ya jumamosi 20.08.2011 kuanzia saa 12.00 jioni.

Maporomota wa muziki huko ughaibuni wameamua kuifanyia kweli bendi hiyo maarufu kwa kuipangia ratiba ya maonyesho bila kupumua !

Kamanda Ras Makunja na kikosi kazi chake Ngoma Africa band aka FFU wamejikuta wapo katika kibarua sugu cha kuwapa burudani kamili wapenzi wa muziki katika kila kona huko ughaibuni.

FFU kw sasa wanatamba na nyimbo mbili mpya "Bongo Tambarare " na "Supu ya Mawe" wasikilize mwenyewe @  www.ngoma-africa.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ffu gwaride lenu linakubalika,na vilio vyenu watoto wa mbwa vinasikika
    kwa ukali,kazenu mikanda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...