Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazan la Mapinduzi, Dk. Ali Moamed Shein,akizungumza na uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,katika mkutano wa kuweka mikakati ya matumizi ya wizara katika kukuza uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi,mkutano huo uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya watendaji wa wizara ya Miundombinu na mawasiliano wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji hao Ikulu Mjini Zanzibar,katika kuhakikisha watendaji hao wanasimamia vizuri kazi zao.PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...