Home
Unlabelled
mambo ya gado leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nina penda hii. gado you are the best. kwanini huyo besigye asikubali kushindwa na akangojea next election. huyo besigye amesha pigwa na polisi sijui mara ngapi. si ajabu amearibiwa ubongo. nina mshauri apumzike ili arudishe afya yake.
ReplyDeleteSi ajab hata kina Mandela walikua wanaambiwa maneno ya kukatisha tamaa kama hayo ya mchangiaji wa juu hapo.. just saying..
ReplyDeleteMdau wa hapo juu, kwani Besigye ameshindwa kihalali au kimizengwe?
ReplyDeleteNa kuna ubaya gani kwa kampeni yake hiyo ya walk to work, kwani inasave mafuta pamoja na kuhamasisha mazoezi kwa wenye vitambi.
Baada ya miaka 26 ya utawala mu7 hana mpya yo yote amechoka lakni hataki kungóka.