Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK A,li Mohamed Shein Akizungumza na wananchi na wakulima wa karafuu katika banda la ZSTC Daya Mtambe ambapo ni kituo kikuu cha ununuzi wa zao hilo,linalopekea kukuza uchumi wa Nchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK A,li Mohamed Shein Akisikiliza raisala ya wachumaji wa karafuu katika kambi ya daya Mtambe  jana alipofanya ziara kutembelea kambi za wachumanji wa karafuu Mtambwe wilaya ya Wete.Picha na Ramadhan Othman,Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK A,li Mohamed Shein Akiangalia karafuu zilizokatwa wakati zikisafirishwa kwa njia ya magendo.karafuu hizo zikiwa zimehifadhiwa katika kituo cha ZSTC,huko katika Bandari ya Wete jana,(katikati )Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein, (kushoto) Naibu Meneja wa ZSTC Pemba .Hamad Khamis Hamad. Picha na Othman Maulid Pemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...