Yanga kids na kocha wao mzee kwala (shoto). Vijana kibao kati ya hawa waliibuka kuwa nyota wakubwa nchini. siku hizi timu ukiziambia ziunde timu za vijana inakuwa nongwa....Mwenye data msaada tutani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. waliosimama watatu kutoka kushoto ni Tostao, watano kutoka kushoto ni Kassim Manara, waliochuchumaa watano kutoka kushoto ni Aldof Richard, wanne kutoka kulia waliochuchumaa ni Mapango

    ReplyDelete
  2. kwanza kabisa coach mzee kwala,simkumbuki,simkumbuki,mkweche,boy,simkumbuki,kassim,sharif,si wakumbuki,waliochuchumaawapili boy,4 kutoka kushoto rishard,simkumbuki,mapango,jaafar,simkumbuki,simkumbuki.mdau bwegenaz

    ReplyDelete
  3. kweli hii enzi ya mwalimu watu hawana hata jezi miguu pekupeku kaa siku hizi huwezi wadhalilisha watu hivi..ni sawa na kwenda msikitini au kanisani na hujui why you went there for ilimradi wenzio wanaenda nawe umeenda.

    ReplyDelete
  4. Mtu wa tatu kuanzia kushoto walio chuchuma ni mzee Bilal Ka`bange ambae alikuwa golikipa wa Yanga kids enzi hizo. Alikuwa golikipa hodari hajapata kutokea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...