Home
Unlabelled
enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waliosimama watatu kutoka kushoto ni Tostao, watano kutoka kushoto ni Kassim Manara, waliochuchumaa watano kutoka kushoto ni Aldof Richard, wanne kutoka kulia waliochuchumaa ni Mapango
ReplyDeletekwanza kabisa coach mzee kwala,simkumbuki,simkumbuki,mkweche,boy,simkumbuki,kassim,sharif,si wakumbuki,waliochuchumaawapili boy,4 kutoka kushoto rishard,simkumbuki,mapango,jaafar,simkumbuki,simkumbuki.mdau bwegenaz
ReplyDeletekweli hii enzi ya mwalimu watu hawana hata jezi miguu pekupeku kaa siku hizi huwezi wadhalilisha watu hivi..ni sawa na kwenda msikitini au kanisani na hujui why you went there for ilimradi wenzio wanaenda nawe umeenda.
ReplyDeleteMtu wa tatu kuanzia kushoto walio chuchuma ni mzee Bilal Ka`bange ambae alikuwa golikipa wa Yanga kids enzi hizo. Alikuwa golikipa hodari hajapata kutokea
ReplyDelete