Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw. Haruna Masebu, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ufafanuzi wa jinsi wanavyokokotoa kila baada ya wiki mbili bei elekezi/kikomo cha mafuta ya petroli, dizeli na taa kwa kufuata soko la dunia na thamani ya shilingi kulinganisha na dola ya Marekeni. Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Bw. Titus Kaguo. Picha na Kamanda Mwaikenda

Longo longo, mnafanya kazi huku mkiwa mmepumbazwa na hali ya usingizi usingizi huku mkijua maamuzi yenu yanawaathiri wananchi. I'm very disappointed in you, sikutegemea mngefanya mambo haya.
ReplyDeleteEWURA HAMNA LOLOTE MMEJAA UBABAISHAJI TU,UTENDAJI WENU UNAIYUMBISHA NCHI NA MNAWAFANYA WANANCHI WASIWE NA IMANI NA SERIKALI YAO. KUWENI WA KWELI, MWANZO MLIKURUPUKA NA BAADA YA KUBANWA NA WAUZA MAFUTA MMEAMUA KUSALIMU AMRI. THIS TIME HAMJAKOKOTOA BEI BALI NI SHINIKIZO LA WAUZA MAFUTA.SIONI SABABU YA EWURA KUENDELEA KUWEPO WAKATI UWEPO WENU UNAWAUMIZA WATANZANIA.
ReplyDeleteHuko anakodai kuwa ni kupanda kwa bei ya mafuta duniani, hivi ni dunia ya wapi wanakoishi wao peke yao? Bei ya mafuta duniani imeshuka bwana. Hivi anadhani kwamba watanzania ni wajinga? Anaudhi sana huyu....
ReplyDelete