Salam Alikum
Ningependa ku share picha moja nzuri iliyotoka kwenye gazeti la Gulf News hivi karibuni - Dubai -28/8/11. Je, unadhani walikuwa wakiongea nini?

Ahsante
Courtesy: Mdau
Dubai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Gaddafi alikuwa anataka kuongea kitu ila Mongela alpomgeukia akabaki kusema "heehe heeee hee"

    ReplyDelete
  2. Jamaa: Ila si utani nimekuwa nakutolea mimacho ya Kilibya tangu longtym, hivi huko Ukerewe mnapokea visima vya mafuta kama mahari?
    Mlengwa: Visima nitavipeleka wapi mimi we naniliii? Kwanza mpaka vifike Ukerewe mafuta yote si yatakuwa yameshamwagika? We tuma kwa tenka ntayapokea mwenyewe bandarini pale jetty.

    Guys, am just havinalaugh! I respect and love mama Mongella sana. God blesss you mama!

    ReplyDelete
  3. kapenda ngozi kwa milion 300 kwa saa

    ReplyDelete
  4. Alikuwa anamwamwambia kuwa zile mvi zake zilivyokaa pale mbele huwa zinamuacha hoi...alimwambia ampendekeze kuwa diwani wa kukodi kwenye jimbolake ili awe anatazama tu zile mvi bila kufanya chochote

    ReplyDelete
  5. Let me taste it baby

    ReplyDelete
  6. Nice picture. REALLY!

    ReplyDelete
  7. Gadaffi naye, utaongeaje na mtu mzima mwenzio unambebesha mikono hivyo utafikiri mtoto!

    ReplyDelete
  8. gadanga(muamar) uwa ha-beep.akikosa ngoma hupiga abesela ya nguvu

    ReplyDelete
  9. Ni urafiki na mapenzi tu, naona jamaa amemwangukia mama yetu.

    ReplyDelete
  10. ????????!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...