Home
Unlabelled
MSAADA TUTANI UKIFANYIKA KWA MBUZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo mbuzi atakuwa amepata hofu ya kuchinjwa idd elfitr!huyo mbuzi atakuwa amepata hofu ya kuchinjwa idd elfitr!
ReplyDeleteni kweli anamvuta au anamcheki 'samsingi' yake?
ReplyDeleteHuyu babu mwanga.
ReplyDeletemh huyo mbuzi nae ana lake jambo.....mana dah
ReplyDeleteyaani mbuzi ni watundu mpaka basi, ni lazima alikuwa ameingia kuramba vitu vilivyotwangwa kwenye kinu, kisha akanasa.
ReplyDeletekuna siku kijijini nilipata hofu kweli. nilisikia kitu kikitembea darini. nikapiga yowe nikijua chui... kumbe mbuzi kapanda kufata nafaka zilizohifadhiwa na bibi. issue ilikuwa kumshusha sasa!