Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya CXC Africa Ltd, Charles Hamkah, wakati alipowaalika wageni katika hafla ya futari katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam jana
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Issa Shaaban Simba, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu katika makazi yake Oysterbay Dar es Salaam
 Rais Dkt. Jakaya kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiagana na baadhi ya wananchi waliofika katika futari iliyoandaliwa na mwenyeji wao Makamu wa rais katika makazi yake Yosterbay jijini Dar es Salaam jana Agosti 27, ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru kwa kuhudhulia hafla hiyo. 
 Rais Dkt. Jakaya kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiagana na baadhi ya wananchi waliofika katika futari iliyoandaliwa na mwenyeji wao Makamu wa rais katika makazi yake Yosterbay jijini Dar es Salaam jana Agosti 27, ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru kwa kuhudhulia hafla hiyo. 
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, baada ya hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katika makazi yake oystebay jijini Dar es Salaam jana
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Meck Dadick, wakiomba dua kwa pamoja baada ya kupata futari iliyoandaliwa na mwenyeji wao 
Rais Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Issa Shaaban Simba na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad saul,  wakiwa pamoja wakati wakisubiri muda wa swala kabla ya kupata futari. Picha na mdau Muhidin Sufiani wa VPO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...