Ankal akitoa heshima zake kwenye mnara wa Waziri Mkuu wa Zamani Hayati Edward Moring Sokoine uliojengwa karibu na mahali alopopatia ajali na kufariki dunia mwaka 1984 maeneo ya Wami Sokoine kilomita kadhaa kuitoka mjini Morogoro
Mdau Alvar Mwakyusa wa Daily News akisoma nyadhifa mbalimbali alizoshika Hayati Sokoine
Ankal akipozi na Mbunge wa Rufiji Dkt Seif Rashid walipokutana maeneo ya Gairo wakinunua mahitaji mbalimbali
Ankal akipakia kago baada ya kununua toka kwa wadau wa Gairo
Wafanyabiashara wa Gairo
Ankal akiwa kazingirwa na wafanyabiashara wa Gairo wakiuza vitunguu, nyanya, viazi ulaya na vitamu, miwa na kadhalika kwa bei ya shambani. Hapo unaondoka na debe l;a maharage kwa shilingi 5,000/- na vitunguu ndoo ni sh 2,000/=
happy B/DAY MICHUZI.Mungu Akubariki.
ReplyDeleteGairo biashara ya maharagwe ni ya kihuni. juu wanaweka maharagwe mazuri chini mbovu.
ReplyDelete