Assalam alaykum,
Hebu fungua website hii http://tanzil.info/. Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake.
Home
Unlabelled
The Holy Quran
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mwenyezi mungu akuzidishie kila jema na kwenye uzito aweke wepesi. Amina
ReplyDelete