Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza.


KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

    Michuzi Blog

    Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

    Toa Maoni Yako:

    Kuna Maoni 5 mpaka sasa

    1. Umejitahidi dada, ila "I did wrote this book..." hii kali!

      ReplyDelete
    2. we unaesema "i did wrote this book" utabaki na kusahihisha mwenzako wanapeta! ujumbe wake tumeuelewa na ana kiingereza kizuri tu cha kujiamini kulinganisha na wengine waliopitia shule za msondo

      ReplyDelete
    3. Hongera sana dada kitabu hiki ni kizuri sana, utunzi mzuri,maisha yako halisi, umekua wazi kuelezea maisha yako na kuyaweka ktk kumbukumbu, tumefurahi na kufarijika sana kwa kuchapisha kazi hii nzuri, kitabu hiki kinapatikana Mkuki na Nyota Publishers, Quality plaza Nyerere road au pale TPH Booksghop opposite na salamander na vile vile maduka mengine bora ya vitabu nchini. Kuona vitabu vyetu vingine au kuwasiliana nasi bofya hapa www.facebook.com/mkukinanyota au namba yetu ya simu ni 0788959741

      ReplyDelete
    4. Hongera sana sara kombe,kumbe uliwahikuwa miss TZ?hiki kitabu lazima nikitafute.

      ReplyDelete
    5. Hongera sana Hoyce umejitahidi sana na kingereza chako kizuri tu una confidence makosa madogo madogo yanakubalika kwani it is not your first language. umejitahidi sana ktk maisha yako na mungu azidi kukubariki.

      ReplyDelete

    Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...