Today I saw a one-month old sheep with Yasin written on its flank .Sura Yaseen is the heart of the Quran. It has been unanimously accepted by all schools of thought that this Sura is very effective to be recited to invoke the Mercy of God. Yaseen is also one of the names of the Holy Prophet (PBUHAHF)
Mdau Msafiri



herufi ya mwisho ni nuun jamani tusiwe washabiki saana kupita inavyotakiwa.
ReplyDeleteWewe mdau wa kwanza hapo mbona hueleweki. Kama herufi ya mwisho ni nuun na hiyo hapo ni nini, kama sio nuun?? Inaonekana hata Madrasa hukwenda wewe. Tumia kipindi hiki cha mfungo kusoma Quran hususan Yassin ili uelimike. Allah akuongoze Inshaallah.
ReplyDeletehisabu za watu zinakaribia huku wao wamekhafilika na dunia. bila shaka kuna mazingatio katika hili na ni wajibu wa kila mtu kurudi kwa allah na kama ni mkirsto ufahamu wazi quran ni kitabu cha allah na uislamu ndio dini ya haki
ReplyDeleteTuambie ni nini wengine hatuelewi ukisema Nuun unamaana gani?
ReplyDeleteAnon wa 01:20:00 AM, Ndiyo herufi ya mwisho ni "nun" kwa sababu Yasin inaandikwa Ya Si N (yaani nun) (three syllables). Imekwishaelezwa "and there will be signs for those who know". Cha muhimu mwamini Mungu na umuabudu na kutenda wema na kuacha uovu. Baada ya hapo utapata ufunuo wa kuweza kuona hizo "signs" uwe Mwislamu, Mkristo, au dini yeyote yenye kusisitiza kuamini Mungu, kutenda wema na kuacha uovu.
ReplyDelete...wewe kama ni Islam amini hvyo.
ReplyDeleteKuna imani nyingi kama vile Hinduism, Sikhism, Christianity,Shenism-Taoism and Buddhism.
Usichafue hali ya hewa kwa kujiita wewe ndo mwenye haki zaidi, tafuta ufahamu na historia ya binadamu na imani zao.
kwa mtazamo wangu, ukishamaliza kushambulia dini nyingine, next utaanza kushambulia waislam wenzako....80-90% being Sunni and 10-20% being Shia
mdau wa Nun kakusudia labda kusoma unaasoma kama kiswahili alifikiri hio nun ndio imeanza kumbe hajui unaanza kulia kwenda kushoto
ReplyDeleteyaasiin ina herufi mbili yaani yaa na siin, lakini kwenye kondoo herufi ya mwisho ni nuun, hivyo neno laweza kuwa yaasiinnuun.
ReplyDeletemadau wa kwanza nimepatia na mlonikanyaga nyie ndo mmekosea na kama ni madrasa nendeni nyie.
Narudia, tusiwe washabiki zaidi ya inavyotakiwa kwa haki, tuweke ukweli na uaminifu mbele, tuwe honest. Masuala haya si kama simba na yanga nani kashinda bali ukweli ndo watakiwa.
Uislamu unabaki kuwa dini ya kweli pekee bila kujali kondoo huyo. Ukweli wake unajieleza wenyewe kwenye Qur'aani na hauhitaji sapoti ya kondoo.
hivi tukisema uongo tunamdanganya nani?